Mitindo
Video: Updates za fashion Tanzania na Lilliane Masuka
Mtangazaji wa kipindi cha The Storm cha Clouds TV, Lilliane Masuka anakuletea highlights za fashion zinazowahusu mastaa wa Tanzania. Hapa anazungumzia brand ya nguo inayokuja juu nchini, Style Your Soul pamoja na mavazi ya Diva, Chege na Mwasiti.