Mitindo

Videos: Swahili Fashion Week Day 1

Wiki ya mitindo na ubunifu wa kiswahili Swahili Fashion Week jana usiku ilizinduliwa rasmi katika viwanja vya Karimjee kwa shoo kabambe iliyochukua lisaa limoja. Shoo hiyo ambayo inafanyika kwa mara ya nne tangu kuanzishwa kwake ilihusisha washiriki nane kutoka sehemu mbali mbali za bara la Afrika lakini wengi wao zaidi wakiwa watanzania.

Wabunifu kama Zamda George, Asia Idarus, Khadija Mwanamboka, walingara vilivyo katika shoo ambayo ilisherehekeshwa na Mshiriki wa kwanza wa Big Brother Africa na aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Nirvana katika Televisheni ya East Africa bibie Abby Plaatjens ambaye aliwasilisha ujumbe maalum wa Malaria ambao ulitoka kutoka kwa moja wa wadhamini wa shoo hiyo ya ubunifu na mitindo ya mavazi ya kiswahili malaria Haikubaliki.

Shoo hiyo ilihudhuriwa na wapenzi mbali mbali wa mitindo, ubuniu na mavazi pamoja na balozi wa ufaransa nchini Tanzania bwana ilianza saa tatu kamili za usiku na leo itaendelea katika viwanja vya Karimjee.

Kwa wale wanaopendelea kujua tamaduni za mavazi, mapambo na vyakula vya kiswahili wanawezakwenda Kwenda Karimjee kuangalia na kununua pamoja na kujifunza utamaduni huo.

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Swahili Fashion Week 2010 Day 1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents