Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Video: Wasanii wanaolia njaa ni wazembe – Steve Nyerere

Msanii wa filamu, Steve Nyerere amefunguka kwa kudai kwamba wasanii wa filamu wanaolia njaa kwa madai kuwa soko la filamu limekufa ni wazembe ambapo amedai msanii kupitia kazi anayofanya anaweza kufanya kazi tofauti na kuigiza na akaingiza pesa nyingi.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW