Shinda na SIM Account

Wolper afanya birthday Party kwa kuzindua App yake

Msanii wa wa filamu, Jacqueline Wolper Alhamisi hii amefanya sherehe ya kusherekea birthday yake ambapo pia ametumia sherehe hiyo kuzindua App yake itwaayo, Wolper Stylish.

Party hiyo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa muziki akiwemo Diamond Platnumz.

Muigizaji huyo alisema app hiyo itawasaidia mashabiki wake kupata taarifa mbalimbli zinazohusu maisha yake, kazi pamoja na kampuni yake ya ubinifu wa nguo.

Wolper siku jana mchana alianza kusherekea ziku yake ya kuzaliwa kwa kula chakula cha mchana na watoto yatima.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW