Bongo Movie

Wolper alia na Bongo Movie kumsaidia Jini Kabula

Msanii wa Filamu Bongo, Jackline Wolper ameumizwa na taarifa zinazoendela kwa sasa juu ya msanii mwenzake Mariam Jolwa maarufu kama Jini Kabula kuhusu kuugua ugonjwa wa akili.

Jackline ametoa rai kwa wasanii wa Bongo Movie kuingilia kati suala hilo ili waweze kumsaidia msanii huyo aliyepata umaarufu kupitia tamthilia ya ‘Jumba la Dhahabu’.

Kabula wangu???Natamani niongee mambo mengi sana juu yako lakini natamani ata kukusaidia urudishe akili yako swali ni kwamba nimechelewa??nakama nimewahi je nitafanikiwa kweli? .
sasa tuzungumze jambo jamani maana siju hizi tarfa tunazipata insta naona nalangu niliongelee insta wanatasnia wenzangu tunamsaidiaje mwenzetu nini kimekuta kipi je nayoyasikia ndio hayo????nakama ndio mbona kuna wataalam wakusena nae naakakaaa sawa
Basi watanzania wenzangu naombeni tuchangie maoni yenu hapa nakama nim2 uwezi toa ushauri hapa basi tuma msg kwakupitia cm hii 0765776776 basi tuweze kumrudisha kabula jamani .

naandika msg hii huku nalia namoyo mdogo sana usiweza kuvumilia naumivu nakumbuka nimishawahi kumwambia kabula we nimwanamke mzuri sana bongo movie lkn natamani kujua tatizo nini kacheka tuu akachukua nguo akaondoka sikupata muda wakuzungunza nae ….sasa npo safarini hope kesho au kesho kutwa nikijaliwa tukutane kwaoamoja .. Bongo movie tumfwate alipo jamani tujue tunamsaidiaje nimeona vdio anaongea sjui niamechanganyikiwa masikn me ata nashindwa kuandika jamani ….

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents