Bongo Movie

Wolper na Brown sio siri tena

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jackline Wolper amaamua kufanya kweli kwa kudhihirisha kupata mrithi wa Harmonize wa WCB.


Wolper na Brown wakiwa kitandani

Wolper ameamua kumuweka hadharani Bff wake anayedaiwa kuwa mpenzi wake mpya aitwaye Brown, katika mtandao wa Instagram mrembo huyo ameweka video wakiwa 0-distance.

‘But why Bff punguza kidogo? #out #happy #no commen,” ameandika Wolper. Mwamaume huyo siku chache zilizopita alipost picha akiwa na mrembo huyo kitandani.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents