Michezo

Yannick Bolasie arejea rasmi kikosini Everton

Winga wa klabu ya Everton na timu ya taifa ya Ufaransa, Yannick Bolasie amerejea mazoezini baada ya kukosekana ndani ya Uwanja kwa miezi 11 kufuatia majeraha yaliyokuwa yakimkabili.

 

Bolasie mwenye umri wa miaka 28, alipata majeraha wakati akiisaidia timu yake ilipocheza dhidi ya Manchester  United mwezi Disemba mwaka jana mchezo uliyomalizika kwa sare ya bao 1-1.

Wiki iliyopita Yannick Bolasie ambaye ametokea Crystal palace mwaka 2016, alionekana akifanya mazoezi na kikosi cha vijana cha Everton kabla leo kujiunga na timu ya wakubwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents