Michezo

Zlatan apewa likizo ya siku 4 na Jose Mourinho

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ametoa likizo ya siku 2 kwa wachezaji ambao hawajaitwa timu ya Taifa, ila mshambuliaji Zlatan pekee amepewa likizo ya siku 4.

36D8E01A00000578-0-image-a-29_1470258681416

“Katika umri wa miaka 34,unahitaji kupumzika. Amecheza kila mechi, kila dakika siku 4 za mapumziko kwake,” amesema Jose.

Mchezaji huyo raia wa Sweden ameshafunga magoli manne kwenye mechi zake nne za kwanza akiwa na United.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents