Producer mkali kutoka studio ya Kili Records iliyopo maeneo ya Kinondoni Muslim, C9 Kanjenje amelonga na Bongo5 na kuelezea mikakati yake kwa mwaka huu wa 2012.
Producer huyo ambaye anajulikana kwa kutengeneza nyimbo zilizo hit za AT (Mama Ntilie na Utatamani), na sasa Amini kwenye wimbo wake wa Ni Wewe amesema kwamba mkakati wake wa kwanza ni kufanya nyimbo bora ambazo zitamfanya na yeye aingie kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za muziki za Kilimanjaro.
Kwa maelezo zaidi msikilize C9 akielezea mikakati yake hiyo.
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=vaevnuZP-CY[/youtube]