Habari
Mafuriko yatikisa tena Jangwani, barabara yafungwa (Video)
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani limelazimika kuzuia kwa muda matumizi ya barabara ya Morogoro katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam baada ya Daraja hilo kujaa maji na kusababisha maji hayo kupita juu ya daraja. Staff Sajenti Muhidini Kutoka Makao Makuu Traffic amethibitisha.
https://www.instagram.com/p/B967KRBBl-I/
https://www.instagram.com/p/B964joVnmOE/