Burudani
Lady Jaydee, Amini na Barnaba (Gemini) kuupamba uzinduzi wa movie ya Lulu ‘Foolish Age’
Lady Jaydee na Machozi Band pamoja na wasanii wa kundi la Gemini, Amini na Barnaba wanatarajia kutumbuiza kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya Elizabeth ‘Lulu’ Michael iitwayo Foolish Age.
Uzinduzi huo utafanyika Ijumaa ya August 30 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.