Abdukiba afuata nyayo za kaka yake, aachia video aliyomshirikisha Singah wa Nigeria (+ Video)

Hii nyingine tena kutoka kwenye lebo ya @kingsmusicrecords, Baada ya kufanya Collabo na @officialalikiba msanii kutoka Nigeria @official_singah ameshirikishwa na @officialabdukibaa kwenye ngoma mpya ya #Givemore

Unamapa asilimia ngapi @officialabdukibaa na @official_singah kwa chupa hili..? Dondosha comment yako hapa chini 👇🏿👇🏿👇🏿

Related Articles

Back to top button