Burudani

Adekunle Gold aachia PNDS

Msanii @adekunlegold maarufu kama AG Baby ameachia wimbo wake wa kwanza wa mwaka 2023 PNDS akimshirikisha mkali @zinoleesky.

Msanii huyo amewataka mashabiki wa muziki kukaa mkao wa kula kwaajili ya project hiyo kubwa. Stream🔥

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents