Burudani
Afande Sele afunguka ujio wa Wasafi Festival vs Fiesta, atoa povu kwa WEUSI ‘hawana uwezo, walishinda tuzo za Kili kwa uchaga’ (+audio)
Rapper mkongwe nchini Tanzania, Afande Sele amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ujio wa tamasha jipya la Wasafi Festival na kuzungumzia sakata la kushindwa kuchukua tuzo hata moja ya KTMA tangu aanze muziki.