BurudaniUncategorized

Sallam afunguka walipofikia kuhusu Mofaya ya Alikiba kuidhamini Wasafi Festival (+Video)

Sallam afunguka walipofikia kuhusu Mofaya ya Alikiba kuidhamini Wasafi Festival

Meneja wa Diamond Platnumz Sallam Sk amefunguka mwanzo mwisho kuhusu zile taarifa za kinywaji kilicho chini ya Alikiba kuhusu kuidhamini Wasafi Festival kama walivyo taarifu. Akiongea na Bongo5 siku ya uzinduzi wa tamasha hilo la Wasafi Festival mkoani Mtwara  Sallam alisema:-

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents