”Kuondoka kwa kocha Robertinho haikuwa ghafla, sababu tumefanya Booking ya tiketi, akakatiwa tiketi na hatimaye akasafiri. Amesafiri usiku wa jana na atarajerea nchini Janjuari 31, 2023.”- Ofisa Habari na mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally
Ahmed Ally ameyasema hayo kupitia #B5Sports ya Bongo 5.
Imeandikwa na @fumo255