HabariMichezo

Ahmed Ally akiwachambua washambuliaji wapya wa Simba

Meneja Habari wa Simba awachana Yanga.?

@ahmedally_ amesema kuwa Mchezaji wa mpira hatambulishwi kwenye giza maneno ambayo kanakwamba yanawalenga Watani zao Yanga ambao usiku wa jana walimtambulisha, Joseph Guede kwa kuanza kuzima taa na kuwa giza uwanja wa Azam Complex Chamazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents