Burudani

AKA amjibu shabiki baada ya kuchekwa mitandaoni

Ingawa AKA alijaribu kutushawishi kwenye mtandao Twitter kwamba amevunjika moyo kiukweli na kwamba yeye pia ni binadamu, mashabiki bado hawakuwa na huruma.

Moja ya mfuasi wake aifanya picha ya AKA katika meme na kumcheka juu ya kuwa atakua peke yake siku ya wapendanao. AKA alimjibu mfuasi huyo lakini hiyo haikuzuia kuacha kumcheka na kumsumbua.

Alimuambia shabiki huyo kwamba yeye anaweza kuwa mwenyewe Siku ya Wapendanao lakini angalau ana pesa, na akamwambia shabiki huyo kuwa atakuwa maskini katika mwaka wote wa 2018.

https://twitter.com/akaworldwide/status/960632822611546116

AKA pia alielezea kuwa na yeye pia anahisia na kwamba wakati akikasirishwa anajibu ipasavyo.

https://twitter.com/akaworldwide/status/960641627005050882

AKA aliendelea kutuma ujumbe wa kilio kuhusu upendo na jinsi mtu unavyoweza kubadilika haraka sana.

Hata hivyo mashabiki wake wa kwenye mtandao wa Twitter hawakuwa na huruma badala yake walimkaribisha kwenye ulimwengu huo wa kuachwa.

https://twitter.com/akaworldwide/status/960560797083676672

https://twitter.com/akaworldwide/status/960560797083676672

https://twitter.com/akaworldwide/status/960560797083676672

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents