Michezo

Al Ahly watua Tanzania

Viongozi na Benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa klabu ya Al Ahly kutoka Misri wameingia leo nchini Tanzania kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Simba SC.

Mchezo huo utakaopigwa siku ya Ijumaa Machi 29, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents