HabariMichezo

Alichofanya Feisal Salum ni ‘Wacha maneno weka muziki’ (+Audio)

Feisal anaendelea na mazoezi yake Ughaibuni licha ya kuwepo na maneno mengi mtandaoni juu ya kuondoka kwake Young Africa Sports na kuhusishwa na Azam.

Picha anazoweka mtandaoni Zanzibar Finest, Feisal Salum ‘Feitoto’ anaonekana kiungo huyo hana Wasiwasi wala Presha kwa kile kinachoendelea, kiufupi Feitoto ‘Amewacha maneno ameweka muziki’

Imeandikwa na @fumo255

 

 

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents