Burudani

Chege afunga ujio wa kundi jipya TNC, adai amepewa thamani yake (Video)

 

Msanii wa muziki @chegechigunda amezungumza na Bongo5 kuhusu ujio wake ndani ya Kundi la TNC ambalo linaonganisha wasanii watatu @mhtemba , @sir_nature na @chegechigunda .

Chege amesema makubaliano yao ni mazuri ndio maana unaona wasanii ambao waligombana wapo tena pamoja chini ya @majani187

“Nimepewa thamani, Albamu yetu inaitwa umejisikiaje? Umejisikia P Funk kusimamia wasanii ambao waligombana?” Alisema Chege.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents