
Usiku wa deni haukawi!! Hatimaye bondia @ally_mwerangi.585 amekamilisha taratibu zote kwaajili ya kuzipiga na Mmexico, Chirino Sanchez @chirino_oax hapo kesho siku ya Jumamosi.
Ally Mwerangi atakuwa ‘undercard’ kwenye pambano la @yamilethmercadoofi dhidi ya @kchiwandire_official la ubingwa wa Super Bantamweight.