Burudani
Audio: Dully Sykes na Maunda Zorro waachia wimbo wa mat*si (18+)
Dully Sykes na Maunda Zorro wameungana kufanya wimbo wa matusi.. Yeah matusi. Ngoma hiyo inaitwa That’s the Way ambapo Dully mwanzo mwisho anarap kuhusu kudo.. na huku Maunda akisikika akilia milio ya uliwaji.. Isikilize hapo chini.