Burudani

Audio: Muigizaji wa Nigeria Omotola Jalade aonesha upande wa pili wa kipaji chake, atoa single mpya ‘Barren Land’

Muigizaji wa Nollywood (Nigeria) Omotola Jalade pia na ana uwezo mwingine katika sanaa ukiachiklia mbali vile ambavyo tayari vimeweza kumpa umaarufu na mafanikio kama uigizaji na fashion, pia ni mwimbaji wa muziki.

Omotola-2

Omotola anayefahamika pia kama Omosexy, ametoa single mpya inaitwa ‘Barren Land’.

Kwa mujibu wa Bella Naija, wimbo huo utapatikana katika album yake ya pili ambayo haijatoka ‘Me, Myself & Eyes’, na pia umetumika katika kampeni za Amnesty International.

Usikilze:
[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/130644030″ params=”color=ff5500&auto_play=false&show_artwork=true” width=”100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents