Burudani

August Alsina aungana na mastaa wengine kuomboleza kifo cha Alton Sterling

Msanii wa muziki wa RnB Marekani, August Alsina ametembelea familia ya marehemu Alton Sterling.

Professo-Jay

Alton Sterling aliuawa wiki iliyopita na polisi wa kizungu wa Marekani huko Louisiana wakati akiuza CD kwenye eneo la kuegesha magari.

10734092_622894011152287_4301527838339956675_n

Kupitia akaunti yake ya instagram, August Alsina aliandika, “AltonSterling’s Aunt & The Store Owner who watched this tragedy play out. 2 People of God with Amazing strength…. but just because we’re strong doesn’t mean we don’t hurt. ???? .”

eder

Mastaa kadhaa wa Marekani wamepinga kitendo hicho cha mauaji ya watu weusi yanayoendelea ndani ya nchi hiyo akiwemo Snoop Dogg, The Game, Beyonce, Fabolous, T.I, Chris Brown na wengine wengi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents