Burudani

Nisher atangaza kuirejesha tena Nisher Records

Anafahamika zaidi kama muongozaji wa video za muziki lakini Nisher ni mtayarishaji wa muziki pia, ukiongezea na vipaji vingine vingi alivyonavyo.

13259477_715556788546660_329328605_n

Staa huyo wa Arusha ametangaza kuirejesha tena studio yake ya muziki, Nisher Records. Ili kuwa na ujio wa kishindo, Nisher ametangaza ofa nzuri kwa wasanii wa kwanza kuingia ‘booth.’

Hata hivyo ameimbia Bongo5 kuwa kurejea tena kwenye utayarishaji muziki hakumaanishi kuwa ameachana na kuongoza video. Mwaka jana, producer huyo alitayarisha wimbo wa Fid Q, ‘Bendera ya Chuma’ aliyomshirikisha Ben Pol.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents