Habari

Baada ya kutengana Nazizi kuachia kazi mpya hivi karibuni

Baada ya kuachana na mume wake hivi karibuni, rapper na mwimbaji aliyeng’ara kupitia kundi la Necessary Noise la Kenya, Nazizi anatarajia kutoa kazi yake mpya hivi karibuni.

Nazizi new

Nazizi ambaye makazi yake ya sasa ni Nairobi baada ya kuhama kutoka Lamu alikokuwa akiishi na aliyekuwa mume wake, ametoa ahadi ya kazi mpya kupitia ukurasa wake wa facebook.

“BA-BADAM BADAM….how is my family, my fans…the love is major…I have a treat for your ears coming SOONEST WATU WANGU…Blessed day for all a you..BLESSINGS fa all of a YOU!!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents