Michezo

Baada ya kutupwa nje ya AFCON U-17: Serengeti Boys warudi Bongo kimya! kimya! (+Picha)

kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys kimerejea nchini leo kikitokea Gabon  na kupokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe.

Dk Mwakyembe amewapongeza kutokana na walipofikia licha ya kwamba wameshindwa kutimiza ndoto ya kucheza Kombe la Dunia.

D

Dk Mwakyembe amewapongeza kutokana na walipofikia licha ya kwamba wameshindwa kutimiza ndoto ya kucheza Kombe la Dunia.

/>

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents