Michezo

Baba, mama ni mashabiki wa Simba – Msemaji wa Yanga Ally Kamwe afunguka A-Z 

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe kupitia Wasafi fm amesema kuwa Baba na Mama yake ambao wamekuwa wakimlea ni mashabiki wa Simba kwenye familia ya watu tisa (9) mashabiki walikuwa watatu na ndoto yake kubwa tangu utotoni ilikuwa ni kuisaidia timu yake kuhakikisha inafanya vizuri.

”Nimetokea kwenye familia ambayo Baba, Mama ambaye alikuwa ananilea ni mashabiki wa Simba SC, kwa hiyo katika familia hiyo mwananchi nikasimama pale na wananchi sisi tupo watatu kwenye familia ambayo ina watu tisa (9) tukaibuka watatu ambao ni mashabiki wa Yanga.”- Kauli ya Afisa Habari mpya Young Africans Sports, Ally Kamwe alipozungumza na Wasafi Fm.

Related Articles

Back to top button