Uncategorized
Basata lawaondolea adhabu ya kufanya show nje ya nchi, Diamond na Ryavanny
Baraza la sanaa taifa (Basata) limewaondolea adhabu msanii Naseeb Abduly alimaarufu Diamond Platnumz na mwenzake Rayvanny.
Kupitia barua yao walioipost kweny mitandao ya kijamii wameeleza sababu za kuwaondolea wasanii hao adhabu yao hiyo na kuwataka wasiendelee kupiperfom nyimbo hiyo.
Hivyo Diamond na mwenzake Ryavnny watafanya show yao ya wasafi festival bila shida yeyote nchini Kenya.
By Ally Juma.