BurudaniVideos

Beatrice kuyatambulisha mapenzi ya kweli

Beatrece_Mathew_face

MWANAMUZIKI Beatrice Mathew Shirima anatarajia kufanya mengi katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, kwa kutoa nyimbo yake mpya ya Mapenzi ya kweli, ambao tayari ameshaanza kuutambulisha radioni.

Beatrice_Mathew

Alisema zaidi ya nyimbo hiyo pia anajiandaa kuja na albamu yake ya kwanza ambayo ataaita Dunia Duara, itakuwa na nyimbo nane au kumi na radha tofauti

Beatrice_Mathew_2

Beatrice_Mathew_5

 

Beatrice_Mathew_face_4

Beatrice_Mthew_3

 

Beatrice_M_athew_7

 

Beatrice_Mathew_8

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents