Burudani

Billboard na Dailymail zaripoti ushindi wa Diamond Platnumz kwenye tuzo za MTV EMA

Ushindi wa Diamond Platnumz kwenye tuzo za MTV EMA kwenye kipengele cha ‘Worldwide Act Africa/India’ umemuweka mwimbaji huyo wa ‘Nana’ katika level nyingine kabisa kimataifa.

Diamond billboard

Picha za Diamond kwenye Red Carpet pamoja na jina lake kama mshindi wa kipengele hicho zimepewa nafasi kwenye mitandao mbalimbali mikubwa duniani ikiwemo Billboard.com ya Marekani pamoja na Dailymail.co.uk ya Uingereza.

Tuzo hiyo imemwongezea heshima kubwa mtoto wa Tandale ambaye Watanzania walimshuhudia kukua kwake toka alipotoa wimbo wake wa kwanza ‘Nenda Kamwambie’.

Ingia hapa kusoma kwenye Dailymail

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents