Burudani

Black Coffie kumshirikisha Beyonce? Atoa jibu

Kuna usemi wasanii maarufu hupenda kuusema kuhusu tetesi. Kwamba huwasaidia kujua mambo ambayo hata wenyewe hawayajui.

black-coffee_1200x800

Hicho ndicho kilichotokea kwa mshindi wa tuzo ya BET mwaka huu, Black Coffie baada ya jarida la Drum kudai kuwa anajiandaa kuja na collabo na Beyonce!

Jarida hilo la Afrika Kusini lilikinukuu chanzo kikisema: The two of them are working together. Neither of them has hinted on it, but people will hear their music soon.”

487073448_beyonce-zoom-667eecfa-febc-468a-8af7-a22c7b0bc8d1

Hata hivyo Jumanne hii, Black Coffee alikanusha taarifa hizo kupitia Twitter. Akijibu tweet ya Trace TV kuhusu taarifa hiyo, Coffie aliweka emoji ya kushangaa na kuandika: we are????? that would be a dream.”

Hata hivyo Dj huyo wa Afrika Kusini alidaiwa kufanya wimbo na Alicia Keys.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents