Habari

Bongo5 Radio Show: Barnaba na Amini wakizungumzia kundi lao ‘Gemini’ na wimbo wao ‘Why Mimi’

Bongo5 Radio Show ni kitu kipya hapa Bongo5. Utakuwa ukisikiliza mahojiano yenye ladha ya radio kwenye show itakayokuwa ikitayarishwa kwenye studio za Bongo5. Barnaba na Amini wamepata bahati ya kuwa wasanii wa kwanza kuhojiwa kwenye show hii.

Kwenye mahojiano haya, Barnaba na Amini wamezungumza kuhusu wimbo wao wa pamoja uitwao ‘Why Mimi’ na kuhusu kurejea kwenye ramani kwa kundi lao liitwalo Gemini. Enjoy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents