Burudani

Chidi Benz ahoji dili kubwa kwenda kwa Diamond, Harmonize na Alikiba pekee! (Video)

Msanii wa muziki @official_chidibeenz amefunguka kuzungumzia kitu ambacho kimamuumiza zaidi kwa sasa kwenye muziki ambapo amedai muziki umeshuka kwa sababu ni wasanii watatu tu ambao wanapewa dili na kuacha wasanii wengine wakiendelea kula msoto.

Amedai hali hiyo inakwenda kuupoteza kabisa muziki wa Tanzania kwa kuwa kizazi ambacho kinaonekana kinafanya vizuri ni cha wasanii wa Diamond, Harmonize pamoja na Alikiba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents