Siasa
David Kafulila aupewa mkoa wa Arusha, Kimanta amestaafu (+ Video)
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amemteua David Kafulila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha akichukua nafasi ya Idd Hassan Kimanta ambaye amestaafu.