Siasa
Anthony Mtaka mkuu wa mkoa wa Dodoma, ameondolewa Simiyu (+ Video)
Rais Samia Suluhu amemteua Anthony Mtaka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya uteuzi huo Mtaka alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.