Burudani

Davido ajitengenezea rekodi mpya YouTube

Davido anazidi kupata mafanikio kupitia muziki wake tangu aliporudi tena baada ya kukaa kimya kwa takribani mwaka mzima bila ya kuachia ngoma mpya.

Kwa sasa msanii huyo atakuwa anafungua Champagne kwa furaha kutokana na video ya wimbo wake wa ‘IF’ kufikisha views milioni 50 katika mtandao wa YouTube.

Wimbo huo ambao ulitoka mwezi February ya mwaka huu, umekuwa wimbo wa kwanza kwa msanii huyo kutazamwa zaidi katika mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents