BurudaniHabari

Diamond Platnumz na uso kwa uso na Majizzo Bungeni leo

Siku ya leo wakurugennzi wa media mbalimbali wamefika Bungeni Dodoma wakiwa wageni wa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye

Miongoni mwa Wakurugennzi waliofika ni Mkurugenzi wa Wasafi media Naseeb Abdul Maarufu Diamond Platnumz pamoja na Mkurugenzi wa EFM na TVE Majizzo (Professor)wakiwa Bungeni jijini Dodoma kushuhudia uwasilishaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2023/2924.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents