Burudani

Diamond Platnumz: Nilisema ntaoa baada ya Ramadhani lakini ndoa ni mipango ya Mungu (+ Video)

Diamond aizungumzia kauli yake ya kuwa baada ya Ramadhani hii ataoa yaani atafunga ndoa. Haya ndio majibu yake. @diamondplatnumz amezungumzia hilo wakati akiongea na waandishi baada ya kumaliza kutoa mkono wa Eid Tandale mapema leo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents