Bongo5 ExclusivesBurudaniMahojiano

DJ Joozey: Sishindani na DJ AllyB, kila mtu anakimbilia ndoto zake

Baada ya kuulizwa swali na @el_mando_tz juu ya comment za wadau kuwa kuna namna DJ’s wengi wamepanikiswa na DJ AllyB nna kuamua kufanya vitu kwa kufosi, DJ Joozey amefafana urefu zaidi.

DJ Joozey amefafanua na kuwaomba wadau waashindanisha wasannii na mastaa mbalimbali kisa kwa matakwa yao wenyewe.

Ameongeza kuwa yeye hawezi kushindana na AllyB kwa sababu anaamini kila mtu ana ndoto zake na kila mmoja anapambania kile anachokiamini.

Yeye kwenda kupiga muziki Mlima Kilimanjaro sio kwa sababu kuna DJ anafanya vizuri na yeye anatafuta upepo bali zile ni ndoto zake za muda mrefu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents