Burudani

Dj Tass wa Magic Fm apata shavu la kutumbuiza kwenye Big Brother Africa Hotshots Ijumaa hii

DJ Tass wa kituo cha radio cha Magic Fm pamoja na kipindi cha Wakilisha cha Maisha Magic-DSTV amepata shavu la kwenda kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots Ijumaa hii.

Dj Tass BBA

Tass ameiambia Bongo5 kuwa ataondoka Dar es salaam Ijumaa hii kuelekea Johannesburg, Afrika Kusini.

Kupitia Instagram pia ameshare taarifa hiyo kwa kuandika, “Official Dj for BBA Hotshots 2014 representing East Africa #Maishamagic dstv Dj tass #wakilisha.
This friday 14 vov 2014 #TURNUP”

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents