Mchezaji wa Tanzania, Simon Msuva amefunguka kuhusu kuhusushwa kwake na Yanga SC.
Akiongea na @fumo255 katika Exclusive Interview amefunguka pia Klabu ya Saudi Arabia ambayo imemsajili nyota huyo.
Msuva yupo nafasi ya tatu kwenye rekodi za Wafungaji bora wa muda wote kwenye kikosi cha @taifastars_ akiwa na magoli 22, Samatta akiwa wa pili huku Mrisho Mgasa akiwa kinara kwa kufunga mabao 25.