Burudani

Filamu mpya ya Harry Porter itaitwa ‘Newt Scamander’

Mwandishi wa vitabu vya kichawi vya Harry Porter, JK Rowling amedai kuwa anaandika ‘screenplay’ ya filamu ya muendelezo wa filamu zake kutoka kwenye kitabu alichoandika hivi karibuni. Filamu hiyo itaitwa ‘Newt Scamander’.

J.K.-Rowling

Newt Scamander alikuwa ni mwandishi wa kubuni kwa kitabu cha wanyama wa maajabu aliyeandika kwenye vitabu vya Harry Potter. Mwandishi huyo amesema kuwa Scamander atakuwa muigizaji mkuu kwenye filamu hiyo.

Filamu ya kwanza inatarajiwa kutoka mwaka 2016.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents