Bongo Movie

Filamu ya Wolper ndani ya Bongo5

1_Jack_wolper

Jacky wolper akiwa katika moja ya part, katika filamu yake mpya inayokuja hivi karibuni kwa jina la PRINCESE, Location hii ilikuwa Mabibo Hostel.

2_shootingi_ikiendelea 

Mzigo bado ukiwa unaandalia, hapa alikuwa akijipitisha mbele ya waigizaji wengine walioigiza kama wanafunzi wa chuo wakiwa Mabibo Hosteri,  Babu Jouney ‘Sharobaro Presedent’ naye alikuwepo.

3_Jack_wolper 

Jacky Wolper hakuishia kuigiza tu, aka na yeye akataka kujiona, akiwa kwenye scene 

4_Ikafika_zamu_ya_Gelly_na_Jenefa_Odama 

Ikafika zamu ya Gelly ‘Rhymse’  akiwa na Jenifa ‘Odama’, hii inaonyesha jinsi gani wasanii wa filamu walivyolivamia Game la filamu, haya bwana!!

5_Farid_Uwezo

Kamera Man naye akasema nifotoe moja kwenye pozi, anaitwa Farid Uwezo.

6

Huyu mshika taa, sijui anaitwa Taa Man, mimi sijui naomba unijulishe, ila naye ni muhimu sana katika kazi hizi.

7

Hapa Jacky alikuwa ananiuliza je? ajiingize kwenye muziki, kwakuwa wanamuziki wanaingia kwenye filamu? Mimi sijui hebu wewe mshauri.

Hii ndiyo filamu yake mpya ambayo inatarajia kuja hivi karibu,

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents