Michezo

“Haji Manara ajipange, Mwinyi Zahera kapania msimu huu” – Maulid Kitenge (+video)

Mtangazaji wa michezo hapa Tanzania, Maulid Kitenge amemtahadharisha msemaji wa klabu ya Simba, akimtaka apunguze maneno kwani msimuu huu wapinzani wao Yanga wapo vizuri kuliko msimu uliopita.

Akiongea na Bongo5, Kitenge amesema Kocha wa klabu hiyo, Mwinyi Zahera tayari ameshaisoma vizuri mikiki mikiki ya VPL na jinsi anavyoonekana ana uchu na ubingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara msimu huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents