Michezo

Harry Kane hatakuwepo katika mchezo wa jumapili dhidi ya Arsenal

Kocha wa Tottenham Hotspur Maurcio Pochettino amethibitisha kuwa mshambuliaji Harry Kane atakuwepo katika kikosi chake kitakachoivaa Arsenal jumapili hii kwenye uwanja wa Emirates.

3a13d5df00000578-0-image-m-21_1478304507130

Kane amekuwa nje ya uwanja tangu aumie kifundo cha mguu Septemba,18 mwaka huu kwenye mchezo dhidi ya Sunderland.

Mshambuliaji huyo wa Uingereza hadi saivi amefunga kwenye kila mechi katika mechi 3 za mwisho ambazo Spurs wamekutana na Arsenal katika EPL.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents