Burudani

Harusi ya Shilole: Diamond na WCB watua kama wafalme (Video)

Msanii wa muziki Diamond Platnumz pamoja na team yake mzima ya WCB walitua na mbwembwe za aina yake katika sherehe ya harusi ya Shilole la Uchele iliyofanyika usiku wa Jumapili katika ukumbi uliopo Mikocheni karibu na mitaa ya kwa Mawaziri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents