Habari

Haya hapa Majina ya washindi wa Promosheni ya kali kuliko ya lnfinix

Kampuni ya simu lnfinix imehitimisha rasmi Promosheni ya kali kuliko na inawataka wateja wote ambao wametangazwa washindi kufika katika maduka husika kupokea zawadi zao na vile vile inawashukuru wateja wote wa lnfinix kwa kujitokeza kwa wingi katika msimu wa promosheni ya Kali kuliko.

Endelea kutembelea maduka ya lnfinix kwa matole makali na kijanja ya lnfinix NOTE 12 na HOT 12.

Kama wewe ni miongoni mwa wanufaikaji na lnfinix sema nao hapa, promosheni ijayo ungependa kuona nini?

@infinixmobiletz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents