Burudani

Ice Prince aingiza wimbo aliomshirikisha Vanessa Mdee kwenye albamu yake mpya

Vanessa Mdee amezidi kutanua jina lake nchini Nigeria. Wimbo alioshirikishwa na rapper wa Nigeria, Ice Prince ‘No Mind Dem’ umefanikiwa kuwa moja kati ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu mpya ya rapper huyo ‘ ‘Jos To The World’.

hall-stewart-kocha-wa-azam-fc

Ice Prince anatarajia kuachia albamu yake hiyo ya tatu Oktoba 28, mwaka huu baada ya ile ya ‘Everybody Loves Ice Prince’ na ‘Fire of Zamani’ ambayo itakuwa na nyimbo 18.

Ndani ya albamu hiyo amewashirikisha wasanii wengine kama Phyno, Tiwa Savage, Run Town, Yemi Alade, Dj Buckz na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents